Leo mchana malindi tailor's CBO
Tumekua na mkutano malindi sub county, kakuyuni ward
Kuwatia moyo dada zetu walio pata mimba za mapema wakiwa shuleni na wengine kuozeshwa mapema na wazazi wetu,
MALINDI TAILOR'S CBO imeamua kuingia mashinani na kuwapa jawabu LA maisha watu kama Hawa , kuwapa ujuzi wa kushona charahani mashinani ili pia waweze kujikimu kimaisha .
This site was designed with Websites.co.in - Website Builder
We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!
Have a great day!
Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support