X
let's help young mothers

let's help young mothers

Malindi tailor's CBO  Wako tayar kushirikiana na ww ulie KATA tamaa ya maisha na kukupa tumaini jipya
KUSAIDIA MTOTO WA KIKE ALIE KATA TAMAA YA MAISHA

KUSAIDIA MTOTO WA KIKE ALIE KATA TAMAA YA MAISHA

Leo mchana malindi tailor's CBO  Tumekua na mkutano malindi sub county, kakuyuni ward  Kuwatia moyo dada zetu walio pata mimba za mapema wakiwa shuleni na wengine kuozeshwa mapema na wazazi wetu, MALINDI TAILOR'S CBO imeamua kuingia mashinani na kuwapa jawabu LA maisha watu kama Hawa , kuwapa ujuzi wa kushona charahani mashinani ili pia waweze kujikimu kimaisha .
kusaidia mtoto wa kike kutimiza ndoto yake

kusaidia mtoto wa kike kutimiza ndoto yake

Tumekua na mkutano Leo maeneo ya malindi sub county, shella wodi . MCA'S office,  Kuwapa neno la tumaini dada zetu ,  Walio pata mimba za mapema shuleni, Na kusababisha kutoendeleza masomo yao. Kuozeshwa mapema na wazazi wetu hatimaye kukosa kitimiza ndoto zao Sisi kama MALINDI TAILOR'S CBO  Tuko na suluhisho la kati ya Hawa , Kuwapa ujuzi , mashinani na tuweza pia kitimiza ndoto zao

This site was designed with Websites.co.in - Website Builder

WhatsApp Google Map

Safety and Abuse Reporting

Thanks for being awesome!

We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!

Have a great day!

Are you sure you want to report abuse against this website?

Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support